Hivi wale wadada wa enzi ile JF wako wapi? Hebu watag hapa waje tujikumbushe nyuma kidogo

Hivi wale wadada wa enzi ile JF wako wapi? Hebu watag hapa waje tujikumbushe nyuma kidogo

Mwamba kabisa huyu. Ka join may 29 2012, ka left may 29 2012 😁
Mwengine huyu hapa aliingia na kutoka siku hio hio.
Screenshot_20260720-204137_Gallery.jpg
 
Mzee baba...

Wachuchu wa enzi zako washakuwa wamama sasa na wengine wana wajukuu sasa hata JF hawagusi kivileeee...

Sasa hivi huwezi kuwapata tena hapa kina Kaunga, Kongosho, Afrodenzi, Cacico. Gfsonwin, Zinduna, Preety, kisukari, Fixed Point, The Secretary...

Lakini utapata kina Preta Chocs Madame B Miss Neddy BelindaJacob marejesho wapo mjengoni hadi sasa...

Kuna mambo nikiwaza naona ajabu sana
Eti kuwa na mtoto,eti na mimi nitakuja kuzaa,kuitwa mama hadi labda kupata wajukuu 😂😂
 
Back
Top Bottom