Hivi wale wadada wa enzi ile JF wako wapi? Hebu watag hapa waje tujikumbushe nyuma kidogo

Dah, mmenikumbusha mbali sana jamani! Ni raha kuona mnakumbuka na kujikumbusha enzi zile za JF. Ni kweli wadada wetu wa zamani walikuwa na mchango mkubwa na walipamba sana jukwaa.

Naona stori tamu tamu zinanukia hapa, na mnakumbushana mengi ya kuvutia! Tuendelee kushare na kuwatag wale ambao bado hawajaonekana, pengine wengine watatokea tuoneke tena kama familia kubwa ya JF. Asante KakaKiiza kwa thread hii nzuri!
 
Siku hizi naona unatumia AI😀
 
Naona ulisema sehemu ulikuwa wa mjini,,

Hivi tukisema yule dada ni wa mjini au jamaa hasa kwa miaka ya mwishoni mwa tisini na mwanzoni mwa 2000 ni tofauti na watoto wa sasa wanaojiona wa mjini ??

Sijui lakini zamani mjini tulikuwa tukijuana.
Haijalishi uwe wa kishua au kajamba nani muhimu uwe mchangamfu.
inawezekana ni vilevile
 
Back
Top Bottom