Hivi wale wadada wa enzi ile JF wako wapi? Hebu watag hapa waje tujikumbushe nyuma kidogo

Hivi wale wadada wa enzi ile JF wako wapi? Hebu watag hapa waje tujikumbushe nyuma kidogo

Mzee baba...

Wachuchu wa enzi zako washakuwa wamama sasa na wengine wana wajukuu sasa hata JF hawagusi kivileeee...

Sasa hivi huwezi kuwapata tena hapa kina Kaunga, Kongosho, Afrodenzi, Cacico. Gfsonwin, Zinduna, Preety, kisukari, Fixed Point, The Secretary...

Lakini utapata kina Preta Chocs Madame B Miss Neddy BelindaJacob marejesho wapo mjengoni hadi sasa...

Napenda kuangalia kucheki lini waliandika mwisho humu, au kuingia na ID zao. Preta naona muda avatar yake ilikuwa mtu huna haja ya kuangalia ni nani.. Tangu 2024. Aandike na new one if bado yumo humu. . aseme yupo
 
Back
Top Bottom