Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Mimi nitakuja kuwaletea cakeNataka cake!
Wakongwe wa 2015
Mkiwa kwenye maongezi yenu mnashushia na cake,biscuits na bites kadhaa.
Mimi nitakuja kuwaletea cakeNataka cake!
You don't know what God has done for you 😍😅😅😅😅kumbe
Aloooo
Ni neema tu kwakweli shangazi mimi
Kuna birthday weekend hii, tengeneza cake basi!!Mimi nitakuja kuwaletea cake
Wakongwe wa 2015
Mkiwa kwenye maongezi yenu mnashushia na cake,biscuits na bites kadhaa.
Hahahaaaaa nimecheka ujue! Glad wote tuko wazima!Nzuri mpendwa wangu, sisi tumekumiss hadi tukaamua kumuachia Mungu
Karibu mwaya, chochote alichofanya Max kukurudisha humu ndani tunamshukuruHahahaaaaa nimecheka ujue! Glad wote tuko wazima!
Max amenifanya nirudi tena LoL!
Tangu yaibuke yale mapumbavu ya kuteka watu hata DM hatuzami humu ukiona loose ball.Meeting live,watu mnakula Bata vzr tu , kulikua na Ile kila weekend tujakutana LEO TENA TUPO HAPA PUB
HahahahaTangu yaibuke yale mapumbavu ya kuteka watu hata DM hatuzami humu ukiona loose ball.
Hahahaha 🤣,Mimi Gen Z ?Niajeee
Gen Z unasemaje😅
Et niliambiwa alifariki na poker
Nafurahia sana kuwa Mkongwe na mimi.
Ila nawaheshimu wakongwe zaidi yangu.
Tayana-wog
Shunie
Heaven Sent
Khantwe
Mzigua90
cute b
mama D
Dejane
carbamazepine
Nyani Ngabu
Lizarazu
Davet wewe ulichonizidi tu ni kuzaliwa mjini kwenye computer ,mimi kijijini kwenye taa za chemli[emoji23][emoji23]
Mshana Jr
andjul Anko Mkongwe Sana
RRONDO .
Nyie wa 2013 kurudi nyuma aisee
Heshima kwenu[emoji119]
Kumbe bado haujazaa? Umri wako please if you dont mindKuna mambo nikiwaza naona ajabu sana
Eti kuwa na mtoto,eti na mimi nitakuja kuzaa,kuitwa mama hadi labda kupata wajukuu 😂😂
Indeed ni neemaYou don't know what God has done for you 😍
😅😅😅Hahahaha 🤣,Mimi Gen Z ?
Jmn nimekumiss wwNipo jamani, tunalea mapacha
AsanteMungu amekubariki
Yaani kipindi kile unaselfika
Nikiangalia na Mwaka wa Id yako
Yaani Mungu amekupendelea.
GenZ wengi ukiwaona wanaonekana wakubwa kuliko hata Dada zao.
Kwani hujui pa kunipata?
Na wewe unajua pa kunipata😉