Hivi wale wadada wa enzi ile JF wako wapi? Hebu watag hapa waje tujikumbushe nyuma kidogo

Simpigi kamba mangi, ila nyie vitoto vya kisasa mmeharibu sana. Wanaotamani kuonana wanaviziana, kila mtu anamuogopa mwenzake...mkikutana mnaanza kusemana, nyie vitoto mnazingua sana mtani😅
Bwashee mimi kitoto cha kisasa🤣, jf binafsi nimeifanya kama sehemu ya utani , kubadilishana mawazo , kujifunza kidogo hasa kwenye nyuzi za ufugaji na biashara.

Ila mtani wale unaowaona ni machizi humu nafikiri ni watu wapo timamu kiakili zaidi kuliko wale wanaokaza kwamba wapo smart ,chunguza vizuri😅
 
Mtu hawezi kutoa siri za member ukamuita smart mangiii, yaani anakaa na mwenzake huko busy kumsema member mwenzao huyo anakuwaje smart sasa!

Najua wapo kibao wanajitoa ufaham ili kuchangamsha mambo, ila kunabaafhi yetu mmh!
 
Siri gani sasa mkuu? Hivi kumbe mnajuana kiasi mpaka cha kuwa na siri za mtu😂
 
Kwamba hujui watu wanakutana kwa issues mbalimbali, kusaidiana kutafuta ajira, kibiashara, mahusiano na mapenzi...kwamba mangi hujui?

Niambie kama huna namba ya member yoyote wa jf nikupe laki😅
Namba ninazo na wengine hata kabla ya kuwa member wa jf, na wengine nilkua nao tu live tukapiga stories mwisho wa siku kumbe na wao wapo jf, ila hapo kwenye siri sioni kama ina meki sensi , siri gani tofauti na ya kuanikana vibumbu humu tuliyo wahi kushudia bwashee
 
Kuna mambo huenda ulifanya na mtu huko, hutaki wasiohusika wajue. Unadhani wakiambiwa utajisikia raha?
 
Back
Top Bottom