Hivi wale wadada wa enzi ile JF wako wapi? Hebu watag hapa waje tujikumbushe nyuma kidogo

Hivi wale wadada wa enzi ile JF wako wapi? Hebu watag hapa waje tujikumbushe nyuma kidogo

Sifikiri kama jf ilishawahi kuacha kuwa na upumbavu, nyuzi zipo kibao za hao wanajiita wakongwe wakiserebuka na mambo ya hovyo hovyo tu tena kuliko hata sasa

Sijaziona hizo nyuzi za wakongwe wakitajana jukwaani

Miaka ya 2016-2019 humo nyuzi za kutajana zilikuwa nyingi mno

Na maupumbavu yoote ya sasa jukwaani lakini sijaona hizo mambo
 
Sijaziona hizo nyuzi za wakongwe wakitajana jukwaani

Miaka ya 2016-2019 humo nyuzi za kutajana zilikuwa nyingi mno

Na maupumbavu yoote ya sasa jukwaani lakini sijaona hizo mambo
Hahaha ngoja nikitulia nitakupandishia zote niliwahi zipandisha kipindi fulani, japo naona nyingine zilifutwa kulinda brand ila kuna id huto amini
 
Sifikiri kama jf ilishawahi kuacha kuwa na upumbavu, nyuzi zipo kibao za hao wanajiita wakongwe wakiserebuka na mambo ya hovyo hovyo tu tena kuliko hata sasa
2015 kurudi nyuma hakukuwa na huo upumbavu wa kuexpoziana, hata kama qatu walikutana huko. Tena nadhani miaka hiyo kulikuwa na mitoko mingi sana, Arusha wing, Mwanza wing na Dar wing. Watu walienda hadi amboni ila sikusikia chochote zaidi ya kusifiana tu.
 
I2015 kurudi nyuma hakukuwa na huo upumbavu wa kuexpoziana, hata kama qatu walikutana huko. Tena nadhani miaka hiyo kulikuwa na mitoko mingi sana, Arusha wing, Mwanza wing na Dar wing. Watu walienda hadi amboni ila sikusikia chochote zaidi ya kusifiana tu.
Ila zipo I'd kibao za wakongwe walio fanya hivyo hata kabla ya miaka hiyo?


Ila nyuzi zinazoonekana za hovyo na wadau hazijawahi kukosekana jf
 
Back
Top Bottom