Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
😂 Dah
Afu huyu dogo mbona kama tapeli hv anatuchora kama n mgeni
😂 Dah
Oya hamna mgeni hapo😂 Dah
Afu huyu dogo mbona kama tapeli hv anatuchora kama n mgeni
Millennials tunabaguana😹😹😹Mimi nitakuwa QB Lounge Mbezi Mwisho kuanzia saa 2 usiku. Member wa 2015 kurudi nyuma aje tupate A, B, C za zamani.
Karibu tubadilishane mawazo kama umejiunga 2015 kurudi nyuma mkuu!! 2019 hawezi kuwa mkongwe, kipindi hicho hasa ndio upumbavu ulikuwa unaanza kushamiri.Millennials tunabaguana😹😹😹
2019 kurudi nyuma sisi wote ni wakongwe
Kumbe wewe sio wa afmbili 😁Hivi ndio mlikuwa mnatumia modem kwenye computer kuingia Jf,,😂😂😂😂
Ah Wakongwe shkamooni🙌
Mwaka huo 2013 hata simu nilikuwa sitaki kutumia
Ila nilikuwa mdada mkubwa sana wa Sekondari.
😅😅😅😅kumbeIla unafanania na GenZ
Huzeeki yaani
Nipe Siri ya mafanikio ya kutokuzeeka.
NiajeeeEeeh
Wakati mimi najiunga ni wakati tayari tulikuwa tunatumia simuHivi ndio mlikuwa mnatumia modem kwenye computer kuingia Jf,,😂😂😂😂
Ah Wakongwe shkamooni🙌
Mwaka huo 2013 hata simu nilikuwa sitaki kutumia
Ila nilikuwa mdada mkubwa sana wa Sekondari.
Mungu amekubariki😅😅😅😅kumbe
Aloooo
Ni neema tu kwakweli shangazi mimi
Ila simu zilikuwa hazijasambaa sanaWakati mimi najiunga ni wakati tayari tulikuwa tunatumia simu
😂😂😂😂😂Karibu tubadilishane mawazo kama umejiunga 2015 kurudi nyuma mkuu!! 2019 hawezi kuwa mkongwe, kipindi hicho hasa ndio upumbavu ulikuwa unaanza kushamiri.
Nipo jamani, tunalea mapacha
Yeah smartphone walikuwa wanazimiliki wachacheIla simu zilikuwa hazijasambaa sana
Huku mikoani
Hizo smartphone ndio zilikuwa zinafikafika..
Ila zililuwepo simu Fulani za batani zilikuwa na internet.
Hongera sanaNipo jamani, tunalea mapacha
Nataka cake!😂😂😂😂😂
Dah
Anko unatutenga hivihivi.
Miaka ya 2020 kuendelea ndio mambo yalianza kuwa mengi.