1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 10,198
- 14,372
Kuimba kupokezana
Kumbe ni mteja wa kwanza eeenh!Asante sana Boss
Ubarikiwe sana
Wewe ndio mteja wangu wa kwanza kukuuzia keki humu
Naomba tu details za keki unavyotaka iwe
Na ya bei gani
Acha ubishi wa kiha mangi!! Unazingua!!Hakuna siri humu, watu wachape kazi waache kusingizia stress zao kuwa kuna siri zao
Hahaha , inaonekana nnje na hapa mnatunguana sana bwashee 😅Acha ubishi wa kiha mangi!! Unazingua!!
Sasa mangi watu wakikubaliana kwa dhati yao si wanatunguana tu...Hahaha , inaonekana nnje na hapa mnatunguana sana bwashee 😅
Hizi mambo za siri siri haziwezi kuja hivi hivi tu
Ndio mambo ya kuvujishiana mnazodai ni siri yanapoanzia bwashee 😂Sasa mangi watu wakikubaliana kwa dhati yao si wanatunguana tu...
Sio hilo tu, hata kiuchumi watu wanasaidiana, so take it easy mangiii!!😅
Kwa hiyo wewe huzioni kama ni siri?Ndio mambo ya kuvujishiana mnazodai ni siri yanapoanzia bwashee 😂
Dah 😁 sijui hata niseme nini, jf tuenjoy tu jukwaa nakusepa, hayo ya kufuatiliana I'd tuwaachie vikojozi bwasheeKwa hiyo wewe huzioni kama ni siri?
Acha kuita watu vikojozi mangiii😅Dah 😁 sijui hata niseme nini, jf tuenjoy tu jukwaa nakusepa, hayo ya kufuatiliana I'd tuwaachie vikojozi bwashee
😁 si hao wanaotoboa mnazoita siri bwasheeAcha kuita watu vikojozi mangiii😅
Tatizo we unawaza ngono tu!😁 si hao wanaotoboa mnazoita siri bwashee
Kutokea humu JfKumbe ni mteja wa kwanza eeenh!
Eeenh!Kuna pisi ilijiita marejesho😂
Kwahiyo hiyo laki unanipa?Acha basi😅😅😅
Ume-appreciate hadi kupitiliza.😅 Asante binti!Kutokea humu Jf
Na hata mtaani pia nilikuwa sijaanza kutangaza kupokea oda
Kupitia Ile oda,ilinipa Confidence na kuanza Sasa rasmi kuuza keki.
Nashukuru sana kwa kuniamini na kunipa feedback nzuri.
Nashukuru wateja wote walioniunga mkono humu, nikiwa bado ni beginner katika baking ,,Mliniamini..Japo kazi zangu kwa wakati huo hazikuwa bora kama zilivyo Sasa, ila Mliniamini hivyohivyo.
Mungu awabariki sana.
Mteja wangu wa Goba sijamsahau
Nilimtengenezea keki hata mimi sikuipenda sana.
Nina deni kwenu.
Thibitisha kama huna namba za mtu wa jf, tena wa kiume😅😅Kwahiyo hiyo laki unanipa?