RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 60,337
- 138,962
Desk top computer
Desk top computer
Tupo. Msoto ule uleNa wakaka wa enzi hizo wapo wapi? Vipi mmeshajipata sasa maana mlikuwa mnajitafuta.
Bwashee unajua muda ndio hua una hukumu kua jambo hili ulione kua ni la kipumbavu au la maana,Sifikiri kama jf ilishawahi kuacha kuwa na upumbavu, nyuzi zipo kibao za hao wanajiita wakongwe wakiserebuka na mambo ya hovyo hovyo tu tena kuliko hata sasa
Tajiri siku hizi huwapi watu lifti? au unaogopa watachafua gari na miguu yenye michanga kama yule jamaa?Tupo. Msoto ule ule
Hii ni kweli kabisa , na pia kwa sasa jf ina watu kibao tofauti na ile ya kipindi cha nyuma , hivyo lazima mambo mengi yawepo pia .Bwashee unajua muda ndio hua una hukumu kua jambo hili ulione kua ni la kipumbavu au la maana,
Mfano kuna mambo utayafanya utakapokua kwenye umri wa teenager,ila kadiri umri wako unavyokwenda mbele,utakuja kuona kua mambo uliyo yafanya huko nyuma ulikua ni upumbavu,ila kwa wakati ule haukua ni upumbavu na uli enjoy kuyafanya mambo hayo,
Sometimes unaweza kuona mtu anafanya vitu vya kitoto kumbe wewe ndio umezeeka,
Kila jambo na wakati wake.
Stori za mtandaoni tu mkuu gari yenyewe niitoe wapi? Nishazoea daldala zetu ,a kuingilia madirishani.Tajiri siku hizi huwapi watu lifti? au unaogopa watachafua gari na miguu yenye michanga kama yule jamaa?
Wanajamvi nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri ya Muungano wa JF,
Nimekuja hapa kuwajulia hali zenu hasa wadada wale wa enzi ile!
Mko hali gani kipindi hicho wadada wa moto? Hebu wa-tag waje hapa tuwakumbuke tujikumbushe enzi zile.
Picha yake mpaka leo ninayo 🤣🤣🤣🤣Enzi za kina Demis
Dem anajidai pisi kumbe andunje
Ungespecify enzi zipi? Ama sample ya kutag mmoja wa "enzi zile"
ChaiNimechanganya maana hao ndio walikuwa pisi kali za kwenda.
Hata usijali.. usiwe na haraka.. uzee utaufikia tu
Basi nyie ni wajanja na kichwani zimo, 2010 kurudi nyuma walikua wanajua kutumia Pc walikua wanahesabikaweb browser, kupitia PC...