Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 3,705
- 5,540
Le dada
Katika vipaumbele vyangu vya mwisho no ngono bwasheeTatizo we unawaza ngono tu!
Tengeneza rank ya vipaumbele vyako, moja hadi tano mangii!Katika vipaumbele vyangu vya mwisho no ngono bwashee
Binti yangu , mama , pesa , usingizi, na afya yangu bwashee😁Tengeneza rank ya vipaumbele vyako, moja hadi tano mangii!
Binti amechukua sehemu kubwa ya maisha yako, naona unamzungumzia sana.Binti yangu , mama , pesa , usingizi, na afya yangu bwashee😁
Hahaha naichukulia kama chakula tu ,ni sehemu ya mahitaji muhimu ya kiumbe hai bwashee 😁Binti amechukua sehemu kubwa ya maisha yako, naona unamzungumzia sana.
Mama sawa.
Pesa sawa.
Usingizi sawa.
Afya....sawa.
Pombe je?
Kwa hiyo huwa unatupanga sana kwamba wewe ni mlevi mbwa, unapenda pombe kuliko kitu chochote, unatupanga, nilijua tu!!🤪🤪Hahaha naichukulia kama chakula tu ,ni sehemu ya mahitaji muhimu ya kiumbe hai bwashee 😁
Nakunywa, ila sio ya kujigaragaza kama ninavyo andika bwashee 😂Kwa hiyo huwa unatupanga sana kwamba wewe ni mlevi mbwa, ubaoenda pombe kuliko kitu chochote, unatupanga, nilijua tu!!🤪🤪
Tumezoea id's za kike zina majina softE
Eeenh!
Mwanaume ukijipekeza kwake ujue lazima upeleke marejesho kila ...😆😆
Faller sana wewe😅😅😅Nakunywa, ila sio ya kujigaragaza kama ninavyo andika bwashee 😂
Nimefurahi kukuona Dokta [emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Davet sijui amepotelea wapi
😂😂😂😂😂😂We mtoto jamani🤣🤣🤣🤣
Unataka turudi tena Misri?
😀😀😀😀 RaymondMzee wa "assist"...hadi mimi alinikopa nilivyo mgumu wa hela, Ka 10k kangu kakapotea shaaa🤣🤣
Amin🙏🙏🙏Ume-appreciate hadi kupitiliza.😅 Asante binti!
Sasa wa kiume mie nakuwa na namba zake za nini jamani🤣Thibitisha kama huna namba za mtu wa jf, tena wa kiume😅😅