Hivi wale wadada wa enzi ile JF wako wapi? Hebu watag hapa waje tujikumbushe nyuma kidogo

Hivi wale wadada wa enzi ile JF wako wapi? Hebu watag hapa waje tujikumbushe nyuma kidogo

Mdogo angu nipo ulezi ulinipeleka mchaka mchaka, umri unasogea majukumu yanazidi kuwa mengi. Nimekumiss mama
Hongera na pole kwa majukumu.

Kweli umri unakimbia nimeamini.
Maana hata mimi naona majukumu yanazidi kuongezeka kwangu.

Nilivyoona comment yako imebidi nitafute socks nivae😂😂😂
 
Miaka unakimbia.
10 yrs back nilikuwa hata taarifa ya habari siangalii.
Sasahivi ikifika saa 2 nipo kwenye tv nawaambia watoto wekeni taarifa ya habari.
Zile elements za Baba za kupenda taarifa, ndio ninazo mimi.
 
Wanajamvi nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri ya Muungano wa JF,

Nimekuja hapa kuwajulia hali zenu hasa wadada wale wa enzi ile!

Mko hali gani kipindi hicho wadada wa moto? Hebu wa-tag waje hapa tuwakumbuke tujikumbushe enzi zile.
Salama braza KakaKiiza

Nawakumbuka sana ndugu zangu akina Kaizer Vin Diesel Bishanga
 
Back
Top Bottom