Ndoto yako ya kumiliki chombo cha moto imefikia wapi?

Kila mtu ana ndoto ya kumiliki jabo fulani kwenye maisha yake, wengine tuna ndoto ya kumiliki vyombo vya moto kama magari lakini ndoto bado zinagoma tunaishia kumiliki tu majiko ya mkaa.

Wewe ndoto yako imefikia wapi au ushatoa mwanangu
Me namiliki jiko la mkaa tu hata mkweche wa carina sina
 
659523.jpg

Mafuta yapo.. bado chombo tu
..

Karibuni wateja
 
Kila mtu ana ndoto ya kumiliki jabo fulani kwenye maisha yake, wengine tuna ndoto ya kumiliki vyombo vya moto kama magari lakini ndoto bado zinagoma tunaishia kumiliki tu majiko ya mkaa.

Wewe ndoto yako imefikia wapi au ushatoa mwanangu
Kuna tofauti kati ya ndoto na malengo. Ndoto hazina ukomo, ila malengo yana target ya deadline
 
Back
Top Bottom