Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Mwanetu mi sina hurumaKarate ungekuwa hapa!!! Dg tulia ubamizwe
Mwanetu mi sina hurumaKarate ungekuwa hapa!!! Dg tulia ubamizwe
Uwe na huruma wewe ni ke???Mwanetu mi sina huruma
Mbona upo seriously fazaUwe na huruma wewe ni ke???
Lazima niwe serious sitaki nikupoteze kijana wangu poor brainMbona upo seriously faza
Anza na Wipers mkuuHivi huwezi kununua kitu kimoja kimoja km taili,betri, plug zile mpk lienee.
Naona nichukue leseni si ni 70 tuu mengine yatafuata.Anza na Wipers mkuu
Unaweza bruh 😂Hivi huwezi kununua kitu kimoja kimoja km taili,betri, plug zile mpk lienee.
Lazima tumiliki "mbutuka" hiyo bro siyo mchezo.Unaweza bruh 😂
Mimi nishanunua air freshener vingine ntaanza navyo taratibu😎Lazima tumiliki "mbutuka" hiyo bro siyo mchezo.