Hili halina ubishi watu wafupi wana changamoto sana angalia tu ata wale waliokizunguka utagundua kitu.
IQ zao ziko bellow uwezo wa kufikiria uko chini sana.
#akili fupi
Kuna huyu mdau wa hapa jamiiforums anapenda sana kutumia neno MTIBELI, utasikia "sheria za kitibeli ni ngumu sana haiwezekani kwa mtu wa kawaida sijui na uongo gani mwingine huko😂"
Binafsi...
Jf sio mtandao wa vilaza ,kwa nini wewe humu umegeuka omba omba wa kuomba pesa ?
Jf sio mtandao wa kulea maskini wa akili na kipato ,ndio maana jf ili uwe platinum lazima ulipie pesa🤣...
Ukiona umefika kiwango hicho , ujue uwezo wako ni duni.
Na wewe mdada kwa nini Uruhusu ichapwe na kilainishi ni mate?
Watu wa aina hii ni waathirika wa nyeto , na wasagaji ,kwa wadada...
Mimi de Gunner nasema ya kuwa niko katika maandalizi ya kuja kuwa mtu maarufu zaidi kutokea katika taifa hili, nakujulikana dunia nzima by 2040..
Na naamini miaka ya hivi karibuni by 2030...
Wanaume wanaweza wakawa marafiki hata mwaka mzima, ila awajuani majina yao
Kwa wanaume, urafiki hujengwa juu ya shughuli za pamoja (shared activities).
Mnaweza kuwa mnakutana maskani kucheza...
Tangu niamie huku kijijini, sizeeki kihasara hasara
Napata maji safi,
Hewa safi,
Kelele nzuri za ndege,
Hakuna msongo wa mawazo,
Napata mayai, nyama, maziwa muda wowote ninaotaka,
Napata vitu...
Kuna watu humu ndani ni wataalam sana wa kumwaga like...
Sasa kama hujawahi kupewa like na leo dada na raraa reree tafadhali jitathmini sana.
Nani wengine unahisi wanafaa kushindana na hawa...
Inatakiwe isomeke na ieleweke kuwa ni tafuta kazi na si tafuta hela; ili kuweza kudumisha maadili na afya za vijana.
Kwa sababu kazi ndio chanzo cha kupata hela.
Hii ya kutafuta hela, ndio...
Mtu yeyote mwenye IQ kubwa ndani ya miaka 10 aliyoajiriwa, inamtosha kabisa kuwa amejiajiri.
Itakuwa ni ajabu, una zaidi ya miaka 10 kazini, na umeshindwa kujiajiri.
Hii inatafsiri, IQ yako iko...
Tangu nilipoondoka mjini na kukimbilia huku kijijini, nimekuwa na maisha ya amani na utulivu mkubwa sana.
Nilifanikiwa kupata shamba la ekari nne, ambapo nilijenga kibanda changu cha kujipumzikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.