Niambie Tu
JF-Expert Member
- May 29, 2022
- 280
- 727
Imekuaje sikuizi bar kuna wimbi kubwa la wanaume waomba wanunuliwe bia.?
Bado uko bar mkuu🤔 00:48Imekuaje sikuizi bar kuna wimbi kubwa la wanaume waomba wanunuliwe bia.?
Mambo ya kawaida hayo kwa baa za vichochoroni.Imekuaje sikuizi bar kuna wimbi kubwa la wanaume waomba wanunuliwe bia.?
Hamna bia for free, hao kuna exchange wanafanya. Hata mwanamke hanywi bia za mwanaume bureImekuaje sikuizi bar kuna wimbi kubwa la wanaume waomba wanunuliwe bia.?
Mwanamme utaendaje baa bila hela ati ni kwenda kuomba ununuliwe bia. Heri ya mwanamke atakunywa za ofa in return with kibwenye. Bora hata ukope ulewe urudi home kuliko kwenda kulembua macho huko. Au kama ni lazma ulewe kunywa afu utoke bila kulipa upgwe ufe yaishe kikubwa umelewa. Afu mambo na pombe tupge kimya kimya nchi haipo salama.Mkuu Mopak hili swala linaukweli?
Hamna bia for free, hao kuna exchange wanafanya. Hata mwanamke hanywi bia za mwanaume bure