JF sio mtandao wa vilaza, kwa nini wewe humu umegeuka omba omba wa kuomba pesa ?

JF sio mtandao wa vilaza, kwa nini wewe humu umegeuka omba omba wa kuomba pesa ?

NI YEYE MIN MEE NI YEYE, KAKA SAMAHANI SANA NILIPATA HOFU NIMEFARIJIKA SANA KUKUONA KAKA, JIVUNIE SANA UNA WATU WA KUKUULIZIA USIPO KUWEPO, KUNA WENGI WAMEPOTEA NA HAWAJA ULIZIWA BRO, NIMEFURAHI SANA KAKA ISHI SANA🙏🙏
Asante sana mkuu kwa kujali , nyie ni wanangu wa faida, hata mkifeli msikwamwe kututafuta
 
Jf sio mtandao wa vilaza ,kwa nini wewe humu umegeuka omba omba wa kuomba pesa ?


Jf sio mtandao wa kulea maskini wa akili na kipato ,ndio maana jf ili uwe platinum lazima ulipie pesa🤣


Nalewa nipo bia ya 13.
Kaka, aisee Leo nimeanza siku yangu na Serengeti lemon moja na konyagiiii ndogo moja

Hgapa AC imeniponda nimeanza kuwa sawa
 
Back
Top Bottom