Brelim Skoro_
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 15,188
- 37,742
Ukiwa Mtanzania hata ukifa ukawa Mzimu huwezi kupumzishwa....Bila kulipuana 😹😹
Mkuu walianzisha uzi humu kuwa umepotea, naona kuna mtu kakukwaza SANA ila naamini wewe ni hip hop so mtag tuu kaka mkubwa.Jf sio mtandao wa vilaza ,kwa nini wewe humu umegeuka omba omba wa kuomba pesa ?
Jf sio mtandao wa kulea maskini wa akili na kipato ,ndio maana jf ili uwe platinum lazima ulipie pesa🤣
Nalewa nipo bia ya 13.
Yote uliyonayo kwenye mfuko wa shatiMchumba unataka sh ngapi?
asanteWa kazi ni wapambanaji wenzetu bwashee
Tulipata hofu sana na bwana Alexido jz instagramAsante sana mkuu kwa kujali , nyie ni wanangu wa faida, hata mkifeli msikwamwe kututafuta
Yaani mimi huyu ndio naambiwa kaone 🤣🤣🤣 basi bwana nywea tu bia hela zakoKaone unataka kunipatia ujue🤣
Naomba hela mkuu
Acha kupenda chini...mchaga na chini wapi na wapi 😁Mhmmmm uhakika wa kuweka hata kidole tu , utaona msg ya imethibitishwa xxx567
Endelea kuwa balozi mzuri wa Amani ,umoja upendo pamoja na mshikamano