Mtaachana
JF-Expert Member
- Mar 27, 2025
- 2,049
- 6,903
Wanaume wanaweza wakawa marafiki hata mwaka mzima, ila awajuani majina yao
Kwa wanaume, urafiki hujengwa juu ya shughuli za pamoja (shared activities).
Mnaweza kuwa mnakutana maskani kucheza gemu, kutazama mpira, au kupiga tizi gym. Kwenye mazingira haya, uwezo wako wa kuzuia goli au maarifa yako kuhusu kiungo wa Chelsea ni muhimu zaidi kuliko jina lililoandikwa kwenye cheti chako cha kuzaliwa.