Hivi kwanini ni ngumu mwanaume kumuuliza mwanaume mwenzake jina

Hivi kwanini ni ngumu mwanaume kumuuliza mwanaume mwenzake jina

Sahihi kama mnakutana tu kijiweni.

Ila kuwa na urafiki na mtu mwaka mmoja bila kujua jina lake, hapana.
Mwaka mmoja bila kujuana majina haiwezekani. Huwa hatuulizani direct lakini urafiki unavyoendelea mtajuana tu majina. Mtatumiana hela, utaona kitambulisho cha mwenzako, utaona documents zenye jina lake, utasikia watu wanamwita n.k
 
Back
Top Bottom