Hivi kwanini ni ngumu mwanaume kumuuliza mwanaume mwenzake jina

Hivi kwanini ni ngumu mwanaume kumuuliza mwanaume mwenzake jina

Kiuhalisia sijui, ila inatokea tu na mara nyingine kumjua jina hadi mtu anaemjua amuite ndio unalisoma jina lake au wakati wa kubadilishana contacts ndio unaweza uliza "niandike jina gani...

Na hiyo ni street tu Ila kwenye kuutafuta ugali mzee. Hadi jina la ukoo unakariri
 
Kuna mchizi Hadi Leo namuita Mwanza Mwanza sababu anatoke mwanza sijui Jina lake wala hajui Jina langu Ila yeye ananiita kaka.

Akipiga simu kaka inakuwaje Mimi najibu ebana fresh Sana Mwanza Mwanza story nyingine za mitikasi zinaendelea.

Kwahiyo mambo ya kuulizana Jina ni noma kabisa yaani mara chache saana mkibidilishana namba utaskia ebana Seva flan lakini sio Jina halisi inakuwa imeisha hapo
 
Back
Top Bottom