Hivi kwanini ni ngumu mwanaume kumuuliza mwanaume mwenzake jina

Hivi kwanini ni ngumu mwanaume kumuuliza mwanaume mwenzake jina

Mhh.. Wapi huko? Sidhani kama uko sahihi. BTW unapokutana na mtu usiyemjua mara ya kwanza unaanza kwa kujitambulisha wewe. Naweza kusema ''mimi naitwa Macho'' Na wewe unanijibu ''Mimi naitwa Mtaachana''. Yes, kuna wakati unaweza kumpiga swali mtu ''wewe unaitwa nani?'' lakini kistaarabu unajitambulisha wewe kwanza.
Labda wazungu. Kwamba nikutane na mshkaji bar tunacheki game halafu nianze kusema mimi jaitwa Natafuta ajira, wewe unaitwa nani?. Hiyo kitu haipo tutapiga tu mitungi. Tukifika hatua ya kubadilishana namba uko ndio tunaweza kuuliza nisave jina gani
 
Sikuwa namaanisha hivyo. Hizi casual meeting za kukutana na mtu na kupiga story sidhani kama kuna haja ya kuambiana majina.
 
Kwa wale wazee mitikasi kujua jina muhimu Sana, unachonga na mwenzako dili zuri halafu umuite Mshikaji au brooh, mambo za pesa nzuri huwa tunajuana Hadi majina ya ukoo, kujua jina kwenye hela inatengeneza trust na amani Sana kwenye biashara...
 
Mimi jamaa zangu wote huwa wananiita J, so no need ya kujuana majina ya nida.
 
Mimi huwa namsave mtu yeyote bila kujali jinsia kwa muonekano wake na mitaa tuliyokutana,kuna demu nilimsave malaya sinza mara siku nimejisahau nikamtumia screenshot kuna kitu tulikuwa tuna discuss ilikuwa ni fedhea 😄
 
Back
Top Bottom