JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kama umeniroga awee Siambiwi kwawee Overdose me Your love dey overdose me Paa pee pii papapuu Your love dey overdose me paa pee pii papapuu Overdose Joanah usiuchoshee huu moyo Joanah upoze huu...
12 Reactions
85 Replies
3K Views
Natafuta marafiki wa kubadilisha mawazo
3 Reactions
7 Replies
105 Views
Hii jamii ni ya kutenga kabisa na wakristo, inachafua ukristo na kuonekane kama hamnazo
16 Reactions
177 Replies
2K Views
Urembo tumo, Serikalini tumo, Maendeleo yapo juu kuliko Uchagani. Wachaga msijisheue hamuisomi namba kwa Msukuma.
9 Reactions
145 Replies
1K Views
Akikuomba hela mwambie pesaziko benki. Akupe kwa mkopo.
3 Reactions
9 Replies
78 Views
sisi ni mandege wakuu hapa JF hamna wakulinganishwa nasi.ukileta za kuleta tunakudonoa na midomo yetu.
6 Reactions
19 Replies
279 Views
Amri iliyo kuu ni UPENDO! Basi tupendane.. Leo nimekaa nikitafakari kwa kina kuhusu jukwaa letu. Mara nyingi tunakutana humu kuchangamsha akili, kubishana, na wakati mwingine kupeana changamoto...
60 Reactions
214 Replies
2K Views
Fikiria huyo mgonjwa ndiyo za Tanzania halafu huyo jamaa ni CCM 👇
1 Reactions
4 Replies
100 Views
Mtu unayemtongoza?, Bosi wako?, Rafiki mpya? Chawa? Moderator? Au Mimi?🤣
15 Reactions
231 Replies
2K Views
Nimeamua kuja hapa Las Vegas kwa ajili ya mapumziko ya wiki moja lakinaishi nayohitaji kuishi hapa naona kwa hela hii niliyonayo sitoboi wiki Nilikuwa nimeandaa bajet ya dollar 1 million kwa...
9 Reactions
43 Replies
542 Views
  • Closed
Huyo mtoto ni maini matupu, sijaona binti mrembo kama huyo kwenye tasnia ya sanaa, katoto katamu sana kana akili ya haraka mno . Ngoja nisake pesa
24 Reactions
120 Replies
1K Views
Unajisikiaje kutumia jina lile lile ulilopewa na wazazi wako toka udogoni mpaka unakufa nalo? Kama tunaweza kuongeza thamani ya viwanja vyetu, mashamba, majengo n.k, ni muhimu pia kuongeza...
7 Reactions
82 Replies
539 Views
Kuna kile kitu unatamani kukifanya ila unaogopa matokeo baada ya kitendo,ni kitu gani hicho?
4 Reactions
31 Replies
343 Views
Habari Wakuu. ● Wakuu naomba kuuliza inawezekana wewe ni Baba, Mama, Kaka, Dada, Mjomba, shangazi, mfanya biashara, mwalimu, Daktari, polisi, Jaji, Misheni town, Dereva, Mwanamitindo...
3 Reactions
103 Replies
624 Views
Nabii Tito ambaye aliumbwa kwa sura na mfano Mungu amekuwa akipaka 💋 lipstik ili kulainisha mdomo. Alitabiri Mengi kama ifuatavyo 1.Mafuta kupanda bei 2.Kesho kuwa Jumamosi 3.Kuvaa life jacket...
1 Reactions
19 Replies
201 Views
Leo tunazindua rasmi kijiwe chetu spesheli cha Chitchat Meeting Point.🔥 Hapa si mahali pa chai tu. Huu ni uwanja wa ndege ambapo maneno yanatua na kupaa bila visa wala pasipoti. 🔍 Sheria za...
20 Reactions
254 Replies
2K Views
Pombe ilikufanya kitu gani mpaka ukasema sasa rasmi naacha?
5 Reactions
51 Replies
684 Views
Teja anajulikana kwa uchovu usioisha. Mlevi kwa harufu na kuyumba. Mtumiaji wa jani je? Macho yaliyovimba kwa chini. Macho mekundu muda wote, kutumbua macho sana sometimes kupisha ama kupishana...
25 Reactions
251 Replies
37K Views
Back
Top Bottom