Pombe ilikufanya kitu gani mpaka ukasema sasa rasmi naacha?

Ndo nini😜
Nilipiga nyeto kanisani wakati wa maombi.

Watu walipofunga macho nikajisema, "ngoja nilirushe bao Moja kabla watu hawajafungua macho".

Isivyobahati, mimi nikiwa naendelea kunyetuka watu tayari wameshafungua macho wananiangalia tu kwa mshangao.

Nilihama kijiji nakuambia!

Mbaga Jr akaja kuniingiza kunako CHAPUTA.
 
Nioiga nyeto kanisani wakati wa maombi.

Watu walipofunga macho nikajisema, "ngoja nilirudhe bao Moja kabla watu hawajafungua macho".

Isivyobahati, mimi nikiwa naendelea kunyetuka watu tayari wameshafungua macho wananiangalia tu kwa mshangao.

Nilihama kijiji nakuambia!

Mbaga Jr akaja kuniingiza kunako CHAPUTA.
Aisee wewe
 
Pombe ilikufanya kitu gani mpaka ukasema sasa rasmi naacha?
Haijawahi kunikosea hata maramoja
a3de0dbf-a764-430a-bd5e-0bb0f20e238f.jpeg
 
Nilipiga nyeto kanisani wakati wa maombi.

Watu walipofunga macho nikajisema, "ngoja nilirudhe bao Moja kabla watu hawajafungua macho".

Isivyobahati, mimi nikiwa naendelea kunyetuka watu tayari wameshafungua macho wananiangalia tu kwa mshangao.

Nilihama kijiji nakuambia!

Mbaga Jr akaja kuniingiza kunako CHAPUTA.
kwa stori hiyo ni halali kuicha. Vip CHAPUTA bado upo mbona orodha ya wadau jina lako silioni? kikao cha juzi ulikuwepo?
 
Nilipiga nyeto kanisani wakati wa maombi.

Watu walipofunga macho nikajisema, "ngoja nilirudhe bao Moja kabla watu hawajafungua macho".

Isivyobahati, mimi nikiwa naendelea kunyetuka watu tayari wameshafungua macho wananiangalia tu kwa mshangao.

Nilihama kijiji nakuambia!

Mbaga Jr akaja kuniingiza kunako CHAPUTA.
Mhh hapa shida ni pombe au nyeto
 
Raha ya Pombe asubuhi yake uamke ujutie..

Mie nilipita/kuvagaa Tuta nikiwa na kigari changu kifupi..

Kesho yake nacheck gar vzr nikaingia gharama ya kama 500k kurepair rangi na mustache mpya..

Tangia hapo nikawa na mtindo wa kubolt tu.. ila Pombe siachi.. unaachaje aisee
 
Mimi matukio ni mengi lakini siachi. Cha kwanza nilishachoka kuendesha nkapga simu kwa wife kuwa nauza gari leo aniletee documents sehem flani wakaleta wakakuta nimezima ndan ya gari mmoja akaendesha hadi home asubuhi wakaniambia yote yaliyotokea nikasema ili niwaelewe vizuri wanipe konyagi kwanza ndo mengne yafate. Ila waligoma kwanza nikakutana supu nkaoga mwisho wa siku nikapotea home wakajua nipo kisa wanaona gari hapo wanashangaa jioni tena narudi nikigonga geti la jirani ati ndo kwangu. Na mda huo nagombana kweli sifunguliwi kumbe wananichora tu wakanifata wakicheka hadi ndani na siku hiyo ndo nakumbuka nilitoa 2m nkawakabidhi asubuhi nikaanza kuzitafuta hadi ndan ya gari wanauliza nawambia nalisafisha tu. Wakabaki kucheka nkajua wanazo ikabidi niwaambie waniekee mafuta ya gari zingne wagawane waongeze mitaji. Yaani ni mengi mengi sana ila sio ya kuumiza ni hata nakuja na dem home usiku anapewa pa kulala kukikucha asubuhi naulizwa nasema nilimpata akitaka kubakwa nikamsaidia. Pombe siachi piga ua.
 
Nilipiga nyeto kanisani wakati wa maombi.

Watu walipofunga macho nikajisema, "ngoja nilirushe bao Moja kabla watu hawajafungua macho".

Isivyobahati, mimi nikiwa naendelea kunyetuka watu tayari wameshafungua macho wananiangalia tu kwa mshangao.

Nilihama kijiji nakuambia!

Mbaga Jr akaja kuniingiza kunako CHAPUTA.
Apigaye nyeto amebarikiwa yeye na kizazi chake
 
Back
Top Bottom