Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
Wahuni Sio watu wazuri 😂Chizi Maarifa alibakwa
Wahuni Sio watu wazuri 😂Chizi Maarifa alibakwa
Uje Tanga Sasa nikudekeze.Bebi nionee basi huruma kwa yote haya yaliyowahi kunikumba maishani.
Aimen! 🙏Apigaye nyeto amebarikiwa yeye na kizazi chake
Haya.Uje Tanga Sasa nikudekeze.
Uje mwisho wa mwezi
Hiyo ya kubolt usipende sanaRaha ya Pombe asubuhi yake uamke ujutie..
Mie nilipita/kuvagaa Tuta nikiwa na kigari changu kifupi..
Kesho yake nacheck gar vzr nikaingia gharama ya kama 500k kurepair rangi na mustache mpya..
Tangia hapo nikawa na mtindo wa kubolt tu.. ila Pombe siachi.. unaachaje aisee
Nilitoa offer ada ya watoto na kula nauli ya kusafirishia mizigo!Pombe ilikufanya kitu gani mpaka ukasema sasa rasmi naacha?
Kwa kujihami huko na misosi ,lazima itoe Heshima!Haijawahi kunikosea hata maramojaView attachment 3647349
Mimi matukio ni mengi lakini siachi. Cha kwanza nilishachoka kuendesha nkapga simu kwa wife kuwa nauza gari leo aniletee documents sehem flani wakaleta wakakuta nimezima ndan ya gari mmoja akaendesha hadi home asubuhi wakaniambia yote yaliyotokea nikasema ili niwaelewe vizuri wanipe konyagi kwanza ndo mengne yafate. Ila waligoma kwanza nikakutana supu nkaoga mwisho wa siku nikapotea home wakajua nipo kisa wanaona gari hapo wanashangaa jioni tena narudi nikigonga geti la jirani ati ndo kwangu. Na mda huo nagombana kweli sifunguliwi kumbe wananichora tu wakanifata wakicheka hadi ndani na siku hiyo ndo nakumbuka nilitoa 2m nkawakabidhi asubuhi nikaanza kuzitafuta hadi ndan ya gari wanauliza nawambia nalisafisha tu. Wakabaki kucheka nkajua wanazo ikabidi niwaambie waniekee mafuta ya gari zingne wagawane waongeze mitaji. Yaani ni mengi mengi sana ila sio ya kuumiza ni hata nakuja na dem home usiku anapewa pa kulala kukikucha asubuhi naulizwa nasema nilimpata akitaka kubakwa nikamsaidia. Pombe siachi piga ua.
Mzee ww Pombe uache
Hapo umepiga penyewe.... Kwenye issue ya pombe hasa tunaokaa usiku mnene... Bolt ndo suluhisho tosha na usalama ni uhakika zaidiRaha ya Pombe asubuhi yake uamke ujutie..
Mie nilipita/kuvagaa Tuta nikiwa na kigari changu kifupi..
Kesho yake nacheck gar vzr nikaingia gharama ya kama 500k kurepair rangi na mustache mpya..
Tangia hapo nikawa na mtindo wa kubolt tu.. ila Pombe siachi.. unaachaje aisee
Chizi Maarifa alibakwa
Mzee we ndo unatakiwa uache mkuu maana inakupeleka mputamputa na usipowaka unakuwa makini kweli au. 😁Mimi matukio ni mengi lakini siachi. Cha kwanza nilishachoka kuendesha nkapga simu kwa wife kuwa nauza gari leo aniletee documents sehem flani wakaleta wakakuta nimezima ndan ya gari mmoja akaendesha hadi home asubuhi wakaniambia yote yaliyotokea nikasema ili niwaelewe vizuri wanipe konyagi kwanza ndo mengne yafate. Ila waligoma kwanza nikakutana supu nkaoga mwisho wa siku nikapotea home wakajua nipo kisa wanaona gari hapo wanashangaa jioni tena narudi nikigonga geti la jirani ati ndo kwangu. Na mda huo nagombana kweli sifunguliwi kumbe wananichora tu wakanifata wakicheka hadi ndani na siku hiyo ndo nakumbuka nilitoa 2m nkawakabidhi asubuhi nikaanza kuzitafuta hadi ndan ya gari wanauliza nawambia nalisafisha tu. Wakabaki kucheka nkajua wanazo ikabidi niwaambie waniekee mafuta ya gari zingne wagawane waongeze mitaji. Yaani ni mengi mengi sana ila sio ya kuumiza ni hata nakuja na dem home usiku anapewa pa kulala kukikucha asubuhi naulizwa nasema nilimpata akitaka kubakwa nikamsaidia. Pombe siachi piga ua.
Mzee we ndo unatakiwa uache mkuu maana inakupeleka mputamputa na usipowaka unakuwa makini kweli au.