Nabii Tito ambaye aliumbwa kwa sura na mfano Mungu

Nabii Tito ambaye aliumbwa kwa sura na mfano Mungu

Kijana wa Kizimkazi 2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2026
Posts
4,842
Reaction score
10,164
Nabii Tito ambaye aliumbwa kwa sura na mfano Mungu amekuwa akipaka 💋 lipstik ili kulainisha mdomo. Alitabiri Mengi kama ifuatavyo
1.Mafuta kupanda bei
2.Kesho kuwa Jumamosi
3.Kuvaa life jacket kujikinga na baridi
4.Wema kujifungua
5.Walevi kunywa pombe
 
Nabii wa Ishara🤣🤣

Kesho Jua linawaka
 
Back
Top Bottom