Leteni hapa vichwa nyie msiotaka kuoa au kuolewa.

Mopak

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2024
Posts
2,643
Reaction score
5,733
Pumbavu zenu nyie mnaojiita single boys and girls na uko above 20yrs na hutaki kuoa au kuolewa, kama mda huu hujampata Adam wako au Eva wako jua wewe ndio NYOKA. Ukichukia njoo hapa nje nimekaa nawasubiria shenzi nyie
 
1787107661287.jpg
 
Ukiwa above 20 means ni kuanzia 21 yrs

Unaweza kumshauri mwanaume mwenye 21 kuoa?

Binafsi nilivyokuwa na 21 kitu pekee nilikuwa nawaza ni kumpa ushindi PSG,Man city na kumuua Man United ... hata mahisiano sikuwa nayachukulia serious
Tofauti na hapo nakimbizana na assignments na supps za hapa na pale
 
Joanah vip rafk yangu
 
Pumbavu zenu nyie mnaojiita single boys and girls na uko above 20yrs na hutaki kuoa au kuolewa, kama mda huu hujampata Adam wako au Eva wako jua wewe ndio NYOKA. Ukichukia njoo hapa nje nimekaa nawasubiria shenzi nyie
Duh... hizi konyagi hizi.
 
Back
Top Bottom