Leteni hapa vichwa nyie msiotaka kuoa au kuolewa.

Leteni hapa vichwa nyie msiotaka kuoa au kuolewa.

Ndoa usipokua makini,zinachangamoto sana,muda mwingine ni kudhalilishana tu,hasa pale unapokuja kugundua mkeo anakuchiti hovyohovyo tena na watu ambao hawajaoa,inauma sana, ndomaana sasa hivi naona bora ambao hawajaoa,ila wahakikishe wanakua na watoto.
Cheatings ni nyingi sana kwenye ndoa,ni vile tu kuna siri,yaani mwanamke hajui uhalisia wa mumewe na mume husika hajui uhalisia wa nini mke wake anafanya bila yeye kujua.
Tuombe tu SIRI zitamalaki,ndoa zizidi kuwa salama.
Nikiona contents zakina Ivanoneseven,Comrade flavour,Eastern tv n.k kuna hatari sana.
 
Niko na zaidi ya myaka 25,si kwamba siko teyari au sihitaji kuoa,nawaza siku nitakapo mpiga risasi mtoto wa watu nitahukumiwa kwa adhabu gani…

Actually hii thread inanihusu kabisa na nilivyoisoma nimejihisi ninasemwa mimi kabisa…

Najuta pia kujihusisa kwenye mapenzi mapema,halafu wale wanangu ambao walikuwa wametulia leo wako na ndoa na wanafamilia zao,isitoshe kiuchumi hawanifikiichatackidogo,yaani ninaweza kuishi na wake zao wooote na bank account zikaendelea kuwa na namba…

Sio facebook,instagram sijui JF…kote nimeshapata wa kuwa….ila sio wives materials labda…..

Kila siku naishiaga kujiaminisha nitaoa nitaoa lakini hata demu sina,ni kununua tu.

Ila ukweli NDOA ni MOJA YA BARAKA katika hii dunia…

Mungu atusaidie tu tupate ndoa sahihi,hata huyu anayesoma ujumbe huu kama anaamini she can be wife,come PM.
 
  • Thanks
Reactions: ---
Ko mi nyoka? 😹

Kwani kuolewa lazima?
 
Hata 25 inafaa lakini umewahi
Angalau 30 huko
sikutaka kuwa nyoka kwa mda mrefu ndo nikaamua kumtafuta eva wangu mapema. Miaka hii unakuta mtu ni 30+ lakin ndo kwanza hata wazo hana mwisho wasiku miaka ikimtupa anarudi kujiegesha kwa single mama tena mda huo wanalingana na firstborn wa huyo singo mama hadi unashnwda kutofautisha kati ya baba na mtoto. Na mda huo huna sauti hadi vyombo unaosha coz ukibishana au ukagoma unaweza ukatembezewa kichapo na unyimwe hata pa kulala.
 
Dj stopisha niwakumbushe mwanaume wote tumekumbaliana bora kuwa singo kuliko kuoa mke wa mtu
 
Pumbavu zenu nyie mnaojiita single boys and girls na uko above 20yrs na hutaki kuoa au kuolewa, kama mda huu hujampata Adam wako au Eva wako jua wewe ndio NYOKA. Ukichukia njoo hapa nje nimekaa nawasubiria shenzi nyie

Endelea kukua utawaelewa tu kwa wakati wako
 
Niko na zaidi ya myaka 25,si kwamba siko teyari au sihitaji kuoa,nawaza siku nitakapo mpiga risasi mtoto wa watu nitahukumiwa kwa adhabu gani…

Actually hii thread inanihusu kabisa na nilivyoisoma nimejihisi ninasemwa mimi kabisa…

Najuta pia kujihusisa kwenye mapenzi mapema,halafu wale wanangu ambao walikuwa wametulia leo wako na ndoa na wanafamilia zao,isitoshe kiuchumi hawanifikiichatackidogo,yaani ninaweza kuishi na wake zao wooote na bank account zikaendelea kuwa na namba…

Sio facebook,instagram sijui JF…kote nimeshapata wa kuwa….ila sio wives materials labda…..

Kila siku naishiaga kujiaminisha nitaoa nitaoa lakini hata demu sina,ni kununua tu.

Ila ukweli NDOA ni MOJA YA BARAKA katika hii dunia…

Mungu atusaidie tu tupate ndoa sahihi,hata huyu anayesoma ujumbe huu kama anaamini she can be wife,come PM.
ukishajua tatizo liko wapi wewe tayari ni mshndi ndugu yangu. Na nashukuru kwa kulielewa hilo hope kuna mengi umejifunza. Big up.
 
Back
Top Bottom