Kwa nini ukienda Guest hupokelewi kama ilivyo hotelini au Bank!!

Kwa nini ukienda Guest hupokelewi kama ilivyo hotelini au Bank!!

MBOKA NA BISO

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2025
Posts
766
Reaction score
792
Ukienda bank unakuta kalamu zimefungwa na kamba, siyo kwamba wanaogopa wateja wataiba, ila wanajua wateja ni binadamu anaweza kujisahau na kuihamisha kisha kusababisha usumbufu kwa watumiaji wengine. Lakini ukienda gesti ukakuta TV imechomelewa machuma, kandambili zimewekwa rangi tofauti au zimakatwa, taulo limechorwa kwa rangi ya ukuta, ujue kuwa wanaogopa wateja wataiba.

Jitahidi ifike wakati uache kufuata huduma sehemu unazoonekana wewe ni mwizi badala ya mteja. Ndiyo maana hupewi huduma kwa ukarimu sababu wanakuona nusu mteja nusu mwizi.
 
Walugaluga mkiingia mjini mnakuwa na maswali mengi
 
Tafuta pesa ,uende Hotel za hadhi ,humu wanajua wote nyie ni njaa kali ndio maana wanajihami ,wanajua mda wowote mnaweza fanya ukibaka
 
Back
Top Bottom