TheGreatest Of AllTime
JF-Expert Member
- Mar 14, 2025
- 207
- 679
Tag him or her
Bwana lucas maana kahangaika sana ila hapati teuziTag him or her
Naunga mkono.
Kabisa, nitawabless forum nzima😎
Nimeona wivu kudadeki
Ingia madarakani ndugu zako tufaidi, mi sijawahi kutoka nje ya nchi ila ukiwa makakmu ruti za ulaya itakuwa ni kugusa tu 😁Kaka kwa serikali iliyokuwepo madarakani nitawafanya wajukuu zangu waishi kwa aibu miaka ijayo
Acha niendelee kula mihogo na maji ya kandoro 🤣🤣🤣
Huyo apewe uraisi kabisa Tanzania tutafika mbali