Blueboy Jr
JF-Expert Member
- Jan 9, 2024
- 557
- 940
Aaah nimecheka sanaa dio mande anavituko huyo dg afu ndo kakutana rudiger eeeh tutaona mengi
Aaah nimecheka sanaa dio mande anavituko huyo dg afu ndo kakutana rudiger eeeh tutaona mengi
Acha uzenge wivu wa nini kwenye fake id?Nimeona wivu kudadeki
Yani nakutag ww afu ww unamtag mwanaume mwingine tena kwa mbwembwe.
Ah kmmk nafuta
View attachment 3656970
Maji yameloa😅
Achana na mm 😎Acha uzenge wivu wa nini kwenye fake id?
Kabisa! Nitahikikisha hakuna anayekufa single😎Huyo apewe uraisi kabisa Tanzania tutafika mbali
Acha ujinga au na leo umeshinda njaa?Achana na mm 😎
Mnafiki Wa Kujitegemea,lkn nisiwe ndani ya kijani.Tag him or her
Nimefurahi sana Kwa huo upendo kwangu my.
Utafaa sana hiyo nafasi dadii😎Nimefurahi sana Kwa huo upendo kwangu my.
Umekosa cha kupost?Tag him or her
Siwezi kukibishia unachokisema maana wewe unaniijua zaidi ya ninavyojijua mama watoto.Utafaa sana hiyo nafasi dadii😎
Na kataa ndoa😁Hayupo kifupi great thinkers imekua great stinkers siku hz! Nili join nina miakili kinoma sahvi nawaza makebo tu kimasihara na kutafta kidemu bikra
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wewe lazima utakuwa kiazi kibichi
watag viazi wenzako wanaopenda sirikali haramu ya kijani
watag wenzeko!
Hadi mwisho wa siku nimeachika wooi 😂😂Na kataa ndoa😁
Kwa kufuata ushauri wa walio lose hope jf😅Hadi mwisho wa siku nimeachika wooi 😂😂
You’d be escorting me to that😅