Mvinyo mpya
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 3,816
- 9,308
Secretary bird
Mayoo tunaambiwa mwanaume kua na msimamo, ngumbaru hazina cha ku offer zaidi ya mbususu, jipende kwanza.Kwa kufuata ushauri wa walio lose hope jf😅
Ndio kama hivyo mwendo wa taifa kulipelekea moto tuu 😂😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆
Mi sitaki kutia hasara Taifa langu!!!
lakini wakihitaji makamo wa rais kwenye mambo yetu yaleee niliyobobea usiache kunipigia kura.
Tunategemeana usiwe mbinafsi sana, kidogo tu inatosha mzee..Mayoo tunaambiwa mwanaume kua na msimamo, ngumbaru hazina cha ku offer zaidi ya mbususu, jipende kwanza.
Naona nikazidisha kujipenda mtoto wa watu akaona isiwe kesi kaachia ngazi.
Yaani ni humu tu 🔥 🔥 🔥 hatutaki kupoa kuwa wa baridi sisi!.Ndio kama hivyo mwendo wa taifa kulipelekea moto tuu 😂
Bado kidogo niandike jina lakoTag him or her
Asante kwa kunifariji katika hiki kipindi kigumu cha mpito labda safari yangu inaweza isiwe ndefu kama nilivodhani, labda nishafika sijajua tu bebe loloo 😂 tatizo una msururuu wa watia niaTunategemeana usiwe mbinafsi sana, kidogo tu inatosha mzee..
You’d be escorting me to that😅
Mamnyo ,unanichukia sana siku hizi😅Maji yameloa😅
Kwanini tena kumbe unautaka uongozi dio😂Mamnyo ,unanichukia sana siku hizi😅
Ndio kipenzi tena kwa fujo 😅Kwanini tena kumbe unautaka uongozi dio😂
Umeanza lini haya mambo? Si tulikubaliana letu ni ulevi tu!Ndio kipenzi tena kwa fujo 😅
Tule pombe kwa wivu mkubwaUmeanza lini haya mambo? Si tulikubaliana letu ni ulevi tu!
Sema we kuongea unaweza chukua nafasi hiyo😅Tule pombe kwa wivu mkubwa
Hivi kumbe?😅😅Sema we kuongea unaweza chukua nafasi hiyo😅
Ndio🤣Hivi kumbe?😅😅
Sidhani 😅Ndio🤣
Wewe tena laaziz lazima league za EPL na UEFA ukaangalie live huko huko 😹