Uchawi kwenye ujenzi wa majumba upo, umeshawahi kukutana nao?

Uchawi kwenye ujenzi wa majumba upo, umeshawahi kukutana nao?

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
4,095
Reaction score
13,016
Kule kijijini kwetu Singida ukijenga nyumba nzuri, lazima ujipange kweli kweli kama ni mlonzi basi loga sana, kama ni mcha Mungu basi omba sana.

Unaweza maliza nyumba yako na ukadanja ukaiacha, husda ni hatari kule.


Screenshot_20260918-121529.png
 
Aisee vitu vingine kama utan ivo lakin hiyo picha unaweza baki mdomo wazi mm paka alikua anakuja kunya kwenye ofisi yangu tu haendi sehem nyingine na frem zipo kibao
 
Bundi ni "monogamous", wakipatana ni hadi kifo kiwatenganishe. Na wakishaota manyoya hubaki na wazazi kwa muda kidogo. Pia wanapenda kujikusanya sehemu zenye chakula kingi.

Kwahiyo hizo hapo ni familia za bundi na huenda zimefukuzwa mahali na kunguru au mwewe ambao ni adui zao wakubwa.
 
Back
Top Bottom