Ukikipenda kitu ni ugonjwa mbaya sana hutasikia la mnadi swala wala la muadhini ni full kudata... Huambiliki.... husikii... Hushikiki... Hukamatiki!!!
Ni sawa na ulevi wa bangi, ulevi wa Mpira...
Mwanadada na mfanyabiashara, Baby Rain maarufu kama Mshangazi amejitokeza Hadharani na kusema yupo single anahitaji kuwa na Dudu Baya kimahusiano ya kimapenzi.
"Mimi nipo single nahitaji kuwa na...
Wakati ulikuwa msumari, ulijifunza kwamba dunia haipunguzi nguvu kwa sababu wewe unaumia. Sasa ukiwa nyundo, usisahau somo hilo.
Lakini mpiganaji mwenye akili hapigi kila kitu anachokiona. Anajua...
Sehemu ya kwanza
https://www.jamiiforums.com/threads/safari-ya-misukosuko-2006-sehemu-ya-kwanza.2474605/
Aisee... nilibaki pale Njombe Stand kama kifaranga. Sina mbele wala nyuma. 🙆🏿♂️ Simu...
Muda wa bata una tabia ya kukimbia sana🔥❗🙆🏿♂, alafu Jumatatu inawahi kufika kama ilikuwa inavizia kona.
Kile kipindi cha kuanza kuwaza alarm ya asubuhi,
nguo za kuvaa,
na foleni au majukumu ya...
P2 zinanunulika sana blue monday kwa kuuza mechi.
Dawa za U.T.I na Gono nazo zinatembea sana j3.
Dawa za maumivu, spirit za kutia kwenye vidonda nazo zimo kwenye chati kwa kununulika sana blue...
Some things are better left unseen.
Life has a strange way of teaching us that curiosity is not always harmless. Sometimes we go looking for answers, truths, or things that were never meant to...
Mchekeshaji wa Kenya, Crazy Kenna, anaendelea kupata umaarufu kote barani Afrika kutokana na maudhui yanayoakisi maisha na uzoefu wa Waafrika. Ameteuliwa kuwania Tuzo za AFRIMMA za mwaka 2026...
Mirror 🪞
Hello Great thinkers 👋
Kwanza naomba niweke sawa hapa
Kuna mtu aliniuliza kwanini unaandika sana JF ?
Sielewi hapendezwi au lah(?)
Akauliza 👇
Huna kazi?: me nina kazi ✔️
Unalipwa...
Je wajua kwamba urafiki wa kinafiki ni moja kati ya mambo yanayouma na kuacha majeraha makubwa moyoni?.
Ni pale mtu anayejifanya yuko na wewe mbele ya macho yako, lakini nyuma yako anakuwa wa...
Kwenye mapenzi, chupi naona ni mtego Mkubwa kuliko chochote, mara akae vibaya uone chupi 😋, mtu kuja uchi wa mnyama inakata kinouma🚮
Kwa uzoefu nimeona kama vijinguo kama hivyo , weka na...
Brothers good evening....... Naamini hakuna sisters hapa, kwasababu sisters walikuwepo watatu tu, mmoja kaenda masomoni, mmoja yupo martenity mmoja hayupo active.
Back to topic: hivi hii kitu na...
Wakuu na wanajukwaa wenzangu,Leo natangaza kustaafu rasmi JamiiForums. Nilijiunga hapa mnamo mwaka 2010 kwa jina la Mpinzani. Tangu siku hiyo, nimekuwa member muungwana sana—sijawahi kupigwa 'ban'...
Habari wakuu... Baada ya pilika pilika za siku nimeona fursa ya kuanzisha kiwanda cha Vioo vya kujitizama... Hapa Kahama
Naweza vipi pata marighafi na maganga mzuri wa jadi kuzindika kiwanda...
Hivi karibuni imeingia challenge maalum ya AI inayobadilisha picha yako ionekane kama ya miaka ya 1980
Inaweza kuitwa “AI 80s Challenge" au “1980s AI Photo Challenge
Upumbavu mtupu huko WhatsApp...
Ukiwa na hela mjomba wako akihojiwa kuhusu wewe atasema:
“Huyo? Mtoto wa dada yangu tumbo moja kabisa… damu yangu huyo.” 😭
Lakini ukiwa kapuku:
“Ah yule ni mtoto wa dada yangu tu…”
Mpaka sauti...
NB: Nina Akili Ndogo Sana.
Uliwahi kuwa na boss Mzungu, mchina, Mwarabu?? What was your experience?? Siku boss wangu Mzungu anaondoka mwaka 2018, alitupa staki zote kwa mujibu wa sheria plus...
kuna siku shuleni mwalimu wa Historia aliibiwa kitabu kile cha kiongozi cha mwalimu, kile ambacho huwa wanapewa vya kufundishia vinakuwa na majibu na baadhi ya mifano.
Kilitafutwa shule nzima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.