Kuna mambo ni vema kutoyafahamu kwa usalama wako na ili uendelee kuishi kwa amani.

Kuna mambo ni vema kutoyafahamu kwa usalama wako na ili uendelee kuishi kwa amani.

DiasporaUSA

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2016
Posts
24,021
Reaction score
30,904
Some things are better left unseen.

Life has a strange way of teaching us that curiosity is not always harmless. Sometimes we go looking for answers, truths, or things that were never meant to cross our path—and once we discover them, there is no going back to the person we were before.

You can close your eyes, walk away, or try to forget, but some things stay in your mind forever. They change the way you see people, situations, and even yourself.

So, not every mystery needs to be solved. Not every door needs to be opened. Not every truth needs to be searched for.
Sometimes, peace comes from not knowing. Mfano unataka kujua mahali alipo Nchimbi, unahisi utakuwa the same person baada ya kufahamu alipo.

Dear Jf User, be very careful what you choose to see. Some things, once seen, can never be unseen. 👀
 
Umenena vyema mkuu...
Kweli kabisa unajikuta unasema bora usingeona tu, maana unakuta jambo lenyewe sio la maana!
 
Umenena vyema mkuu...
Kweli kabisa unajikuta unasema bora usingeona tu, maana unakuta jambo lenyewe sio la maana!
Wakati mwingine linaweza kuwa la maana, lakini likakupa shida. Kwa mfano kujua alipo Emmanuel Nchimbi ni jambo la maana , lakini ukishajua unaweza ukawehuka.
 
Tatizo la wabongo wakiwa na wabongo wenzao uzungu uzungu mwingi, wakutanishe sasa na mzungu asilia utaona jasho linavyomtoka, maneno hayatoki, anakua The...the...you know....the! kinachofata anangalia upenyo aishie mitini!
 
Upo nje ya mada.
 
Back
Top Bottom