Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
P2 zinanunulika sana blue monday kwa kuuza mechi.
Dawa za U.T.I na Gono nazo zinatembea sana j3.
Dawa za maumivu, spirit za kutia kwenye vidonda nazo zimo kwenye chati kwa kununulika sana blue monday na hii inatokana na maugomvi na vurugu zinazotokea wikiendi. Ama kweli kufa kufaana.
NB: Tumalizie wikiendi kistaarabu bila kusababisha madhara makubwa kiuchumi na kiafya. Kunywa kistaarabu.