Kwaheri JF: "Mpinzani" nastaafu rasmi baada ya miaka 16 ya uwepo wa kimya kimya na amani

mpinzani

Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
66
Reaction score
133
Wakuu na wanajukwaa wenzangu,Leo natangaza kustaafu rasmi JamiiForums. Nilijiunga hapa mnamo mwaka 2010 kwa jina la Mpinzani. Tangu siku hiyo, nimekuwa member muungwana sana—sijawahi kupigwa 'ban' wala kugombana na mtu yeyote humu ndani. Nilikuja kwa amani, na sasa naondoka kwa amani.Baada ya miaka yote hii 16 nikifuatilia na kuchangia mijadala kiustaarabu, sasa naona imetosha. Vidole vimechoka kugonga keyboard, macho yamechoka kusoma mada ndefu, na akili sasa inahitaji mapumziko. Nawaachia jukwaa ninyi vijana wa kizazi kipya muendeleze gurudumu.Asanteni wote kwa burudani na maarifa yote tuliyoshirikiana kwa miaka yote hii.Wenu,Mpinzani.
 
Hongera kwa kustaafu
 
Madini mtayapata kutoka kwangu...😜
Screenshot_20260924-190317~2.jpg
 
Back
Top Bottom