Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 26,721
- 98,896
"Asante kwa muongozo wako, lakini nimegundua uwepo wangu hapa unakupa 'stress' nzuri sana ambazo unazihitaji. Ngoja nikae kidogo nikuongezee dozi
Huu mwandiko mbona kama wa Genta 😂
"Asante kwa muongozo wako, lakini nimegundua uwepo wangu hapa unakupa 'stress' nzuri sana ambazo unazihitaji. Ngoja nikae kidogo nikuongezee dozi
😂😂😂Muda wote huo unahangaika hapa kumbe ulikuwa unajielezea tabia zako? Sawa mkuu, hongera kwa kugundua dalili za ukilaza wako mwenyewe mapema
Huna 67 labda 40'sMbona mimi nina miaka 67 na bado naperuz JF.
Usituache mkuu, You bera watch our Threads
Ah..ah.. wamekutoa jasho hao jamaa?..Wakina Mwashamba tunawaachia ilo jukumu mkuu ndio Great Thinkers wa kizazi hiki