Lazima kuna story nyuma ya Hilo it's better ukaelezea wengine wajifunze wanaopitia hali kama ile yakoKaka haikuwa rahisi ila niko katika peak kubwa mno ashukuriwe mungu nimepindua meza
Aaa wapiKabla hujazaliwa Young man
1.Kubali matokeoLazima kuna story nyuma ya Hilo it's better ukaelezea wengine wajifunze wanaopitia hali kama ile yako
Good1.Kubali matokeo
2.Tafuta kusudi la kuishi.
3.Anguka mara saba inuka mara nane.
4.Kama huwezi kujenga ukuta anza kuweka tofali moja moja kila siku itachukua muda lakini ipo siku utakamilisha nilikubali kuanza from zero.
Huhitaji kufanya mabadiliko makubwa ya ghafla kwa mara moja bali fanya maboresho madomsogo katika maisha yako kila siku
Nimekuona pm kiongoziHaziombwi hadharani Mkuu ndugu yangu
Kutoka 2010 hadi saivi mbona kama bado mweupe sana kichwani. Ok any way huenda ulirithi akaunti ya kaka yako. Nenda basi unakoenda uwe na maisha mema, maana humu sijaona mchango wako wowoteUnabishana mpaka na uhalisia young man kama kila kitu mpaka profile inajieleza joined 2010 wewe unapinga sina energy ya kukubishia lazima kuna kitu hakipo sawa kichwani mwako au ni mjuaji sana
Wewe si umeaga lakini? Tembea basi mbona bado unajibu comment zetu we sepa hata tukikutukana usitujibu! au unajikataa saa ngapi?Pumzika Young man
IWewe si umeaga lakini? Tembea basi mbona bado unajibu comment zetu we sepa hata tukikutukana usitujibu! au unajikataa saa ngapi?
Umeandika kwa hisia sana, nimeguswa! Subiri nikae chini nianze kulia kabisaWewe si umeaga lakini? Tembea basi mbona bado unajibu comment zetu we sepa hata tukikutukana usitujibu! au unajikataa saa ngapi?
"Asante kwa muongozo wako, lakini nimegundua uwepo wangu hapa unakupa 'stress' nzuri sana ambazo unazihitaji. Ngoja nikae kidogo nikuongezee doziWewe si umeaga lakini? Tembea basi mbona bado unajibu comment zetu we sepa hata tukikutukana usitujibu! au unajikataa saa ngapi?