Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 18,719
- 60,636
Acha zako mzee😁Wakina Mwashamba tunawaachia ilo jukumu mkuu ndio Great Thinkers wa kizazi hiki
Acha zako mzee😁Wakina Mwashamba tunawaachia ilo jukumu mkuu ndio Great Thinkers wa kizazi hiki
Sababu ni umri wake kaka. Ila nilikuwa natania tu kaka.Njoo dm kiongozi ueleze sababu za kuitaka
Mbona mimi nina miaka 67 na bado naperuz JF.Utu uzima mkuu nawaachia vijana
Umejoin 2010 na simu gani wakati umeenza kumiliki smart phone 2020?Wakuu na wanajukwaa wenzangu,Leo natangaza kustaafu rasmi JamiiForums. Nilijiunga hapa mnamo mwaka 2010 kwa jina la Mpinzani. Tangu siku hiyo, nimekuwa member muungwana sana—sijawahi kupigwa 'ban' wala kugombana na mtu yeyote humu ndani. Nilikuja kwa amani, na sasa naondoka kwa amani.Baada ya miaka yote hii 16 nikifuatilia na kuchangia mijadala kiustaarabu, sasa naona imetosha. Vidole vimechoka kugonga keyboard, macho yamechoka kusoma mada ndefu, na akili sasa inahitaji mapumziko. Nawaachia jukwaa ninyi vijana wa kizazi kipya muendeleze gurudumu.Asanteni wote kwa burudani na maarifa yote tuliyoshirikiana kwa miaka yote hii.Wenu,Mpinzani.
Kijana mdogo sana huyu, sura imechoka sababu ya mvuke wa chundai...😂
Sherehe lini?Wakuu na wanajukwaa wenzangu,Leo natangaza kustaafu rasmi JamiiForums. Nilijiunga hapa mnamo mwaka 2010 kwa jina la Mpinzani. Tangu siku hiyo, nimekuwa member muungwana sana—sijawahi kupigwa 'ban' wala kugombana na mtu yeyote humu ndani. Nilikuja kwa amani, na sasa naondoka kwa amani.Baada ya miaka yote hii 16 nikifuatilia na kuchangia mijadala kiustaarabu, sasa naona imetosha. Vidole vimechoka kugonga keyboard, macho yamechoka kusoma mada ndefu, na akili sasa inahitaji mapumziko. Nawaachia jukwaa ninyi vijana wa kizazi kipya muendeleze gurudumu.Asanteni wote kwa burudani na maarifa yote tuliyoshirikiana kwa miaka yote hii.Wenu,Mpinzani.
HahahaKijana mdogo sana huyu, sura imechoka sababu ya mvuke wa chundai...😂
Mimi umenitangulia miezi mitatu tu,nami nitastaafu soonImeniuma sana mkuu
Hii Asante Yako uki isema vibaya utaleta taharuki 😁😁😁Asante mkuu
Asante mkuu ndugu yangu