Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,768
- 172,128
Brothers good evening....... Naamini hakuna sisters hapa, kwasababu sisters walikuwepo watatu tu, mmoja kaenda masomoni, mmoja yupo martenity mmoja hayupo active.
Back to topic: hivi hii kitu na nyie huwa mnaona? Au ni mimi tu najiona star kwenye kioo. Mi nikiwa mwenyewe, natembea peke angu, najitazama kwenye kioo huwa naona picha flani hivi.
Kwanza ni picha ya "Princess Diana" sio kwa muonekano ila ile spirit. Huwa nikiangalia videos za princess Diana, namuona alikua mwanamke mwenye roho nzuri, mwenye kiwango kikubwa sana cha Empathy lakini pia mnyenyekevu kwa watu.
(Ooh bro kajipakulia minyama)
Kama sifanani nae basi natamani sana kuwa kama yeye. Kuna muda huwa najiona princess Diana wa bei ya jioni.... princess Diana wa kikuu.
Kwa mbaaali naonaga pia picha ya Marylin Monroe, hii naomba nisielezee sana make sitaeleweka.
Kuna namna pia huwa namuona huyo mwanamke kwenye profile, naiona spirit hiyo ndani yangu.
Bros nyie mkijiangalia mnaona mnafanania na kina nani?
Usiogope kuwa Zuchu