Ukijitizama kwa kioo na ukijifanyia tathmini huwa unapata picha ya mtu gani maarufu

Ukijitizama kwa kioo na ukijifanyia tathmini huwa unapata picha ya mtu gani maarufu

Nilipokua Kijana mdogo nilisema I'm male vision of Lauryn Hill coz wote tunapenda Art,mashairi,philosophy, culture,and we have Bigger hearts.

Nilikua napenda sana(i still do) nyimbo zake,they way she look,anavyovaa and all,mashairi yake kutoka katika nyimbo yake TELL HIM niliandika katika daftari and still to date i wear them(in my heart) like an armor,

anasema,,
Let me be patient, let me be kind
Make me unselfish without being blind
Though I may suffer,I'll envy it not
And endure what comes

Now I may have faith
To make mountains fall
But if I lack love then I am nothin at all
I can give away everything I possess
But left without love, then I have no happiness
I know I'm imperfect and not without sin
But now that I'm older, all childish things end

I'll never be jealous
And I won't be too proud
Cause love is not boastful
and love is not loud

Now I may have wisdom and knowledge on Earth
But if I speak wrong, then what is it worth??..

So Yes nikijiangalia kwenye kioo najiona Lauryn Hill huyu hapa,mind you she made The Miseducation of Lauryn Hill akiwa na miaka 22 tu.. what a Genius
 
A.K.A Mimi, binadamu wengi sana wanajiona kama mimi. Mimi ni Mimi tu! 😎

Harmful nasikia unajiona kama Piere Liquid ukishalewa kwamba unajipata uko juu kwa mawingu. Hebu tuambie ukweli ni gani katika hili.
Rafiki zangu wakiniona nimelewa ni rahisi wao kuanzisha ugomvi maana wanajua wakuingilia nipo

pombe zikiwa kichwani kwangu nina sifa 😁
 
Mimi najiona Beyonce toka kitambo niko mdogo..!! 😹

Mpaka sasa hivi najiona Bey ni vile tu bado sijampata Jigga wangu nikamilike..!!

Kwenye kioo sasa unikute ninavyojishaua na kuimba nyimbo zake awwww 😹😹
 
Mimi najiona Beyonce toka kitambo niko mdogo..!! 😹

Mpaka sasa hivi najiona Bey ni vile tu bado sijampata Jigga wangu nikamilike..!!

Kwenye kioo sasa unikute ninavyojishaua na kuimba nyimbo zake awwww 😹😹
Bro nimecheka hadi nimesahau kama nadaiwa.....
 
Maisha ya kibongo yanamfanya

best basketballer anaishia CRDB

best musician anaishia halmashauri

best physchologist anaishia kuwa comedian

Na kadha wa kadha, so wengi wetu tuna zile versions kichwani ambazo pengine tungeweza kuwa kama tusingechagua careers tulizonazo, tusingekuwa na majukumu tuliyonayo au hata tungechagua kusakrifaizi kidogo kwa ajili ya ndoto zetu.

So ukimuona mtu aliyefanikiwa kwenye kitu ulichotamani kuwa, unajikuta unaiona reflection ya uhalisia wako. Though haimaanishi kama ungefanya ungefanikiwa kama wao ila ndio hivyo bro, unabaki na what if
Naona vijana wengi wanaotoka vyuo na kukaa kwa msoto mitaani wanageukia fani ya comedian/content creator , sababu tu watu wachache wanaamua kupuuza elimu za watu wengi.
 
Bey wa mafungu 😂😂😂😂
Kuna dr alikua ananijaza haniiti jina langu ananiita Beyonce 😹😹😹

Basi ana pikipiki lake moja hivi alitoka nalo kiwanja huko USA bana bana.. Hilo wa nyuma lazima umshike wa mbele..!!

Sasa siku hiyo akanitorosha akanipeleka kwenye party lao watoto wa kishua..!!

Akanipigisha shopping kali, code zilezile kama bey unaambiwa. Nikapanda lile dude road tunapita tunapigiwa miluzi tu..!!
Mi bichwa hiloooo limevimbaaa

Nikajiona Bey kweli hiyo siku 😹😹😹
 
Back
Top Bottom