Ukijitizama kwa kioo na ukijifanyia tathmini huwa unapata picha ya mtu gani maarufu

Ukijitizama kwa kioo na ukijifanyia tathmini huwa unapata picha ya mtu gani maarufu

Hii inaweza kuwa kweli kwa 85% ya watu, sad!!
Maisha ya kibongo yanamfanya

best basketballer anaishia CRDB

best musician anaishia halmashauri

best physchologist anaishia kuwa comedian

Na kadha wa kadha, so wengi wetu tuna zile versions kichwani ambazo pengine tungeweza kuwa kama tusingechagua careers tulizonazo, tusingekuwa na majukumu tuliyonayo au hata tungechagua kusakrifaizi kidogo kwa ajili ya ndoto zetu.

So ukimuona mtu aliyefanikiwa kwenye kitu ulichotamani kuwa, unajikuta unaiona reflection ya uhalisia wako. Though haimaanishi kama ungefanya ungefanikiwa kama wao ila ndio hivyo bro, unabaki na what if
 
Brothers good evening....... Naamini hakuna sisters hapa, kwasababu sisters walikuwepo watatu tu, mmoja kaenda masomoni, mmoja yupo martenity mmoja hayupo active.

Back to topic: hivi hii kitu na nyie huwa mnaona? Au ni mimi tu najiona star kwenye kioo. Mi nikiwa mwenyewe, natembea peke angu, najitazama kwenye kioo huwa naona picha flani hivi.

Kwanza ni picha ya "Princess Diana" sio kwa muonekano ila ile spirit. Huwa nikiangalia videos za princess Diana, namuona alikua mwanamke mwenye roho nzuri, mwenye kiwango kikubwa sana cha Empathy lakini pia mnyenyekevu kwa watu.

(Ooh bro kajipakulia minyama)

Kama sifanani nae basi natamani sana kuwa kama yeye. Kuna muda huwa najiona princess Diana wa bei ya jioni.... princess Diana wa kikuu.

Kwa mbaaali naonaga pia picha ya Marylin Monroe, hii naomba nisielezee sana make sitaeleweka.

Kuna namna pia huwa namuona huyo mwanamke kwenye profile, naiona spirit hiyo ndani yangu.

Bros nyie mkijiangalia mnaona mnafanania na kina nani?

Usiogope kuwa Zuchu
Sindikiza na kapicha Kako ili tutathmini kwanza kama ni kweli, hata kama wanasema sura sio roho😅
 
1790358527542.png
 
A.K.A Mimi, binadamu wengi sana wanajiona kama mimi. Mimi ni Mimi tu! 😎

Harmful nasikia unajiona kama Piere Liquid ukishalewa kwamba unajipata uko juu kwa mawingu. Hebu tuambie ukweli ni gani katika hili.
 
Back
Top Bottom