Ukijitizama kwa kioo na ukijifanyia tathmini huwa unapata picha ya mtu gani maarufu

Ukijitizama kwa kioo na ukijifanyia tathmini huwa unapata picha ya mtu gani maarufu

Kuna dr alikua ananijaza haniiti jina langu ananiita Beyonce 😹😹😹

Basi ana pikipiki lake moja hivi alitoka nalo kiwanja huko USA bana bana.. Hilo wa nyuma lazima umshike wa mbele..!!

Sasa siku hiyo akanitorosha akanipeleka kwenye party lao watoto wa kishua..!!

Akanipigisha shopping kali, code zilezile kama bey unaambiwa. Nikapanda lile dude road tunapita tunapigiwa miluzi tu..!!
Mi bichwa hiloooo limevimbaaa

Nikajiona Bey kweli hiyo siku 😹😹😹
Bey wa kikuu, bey wa bei chee 🤣🤣🤣
 
Naona mnajipakulia minyama tu kujifananisha na wazungu😀😀
Ukipata fursa ya kujipakulia minyama,jipakulie,ujilie kwa kadri ya uwezo wako kutana,hata mimi enzi za ujana,, nilikuwa na kisu kikali, na mwenye kisu kikali ndio anakula nyama, nilikuwa najikatia majinofu, ila utafika wakati huwezi tena kutafuna, unabaki kula kwa macho tuu!

Wewe Uliwahi kula vyakula gani kutoka sehemu mbalimbali Duniani ukafaidi?

ok mm kitambo kidogo nilikuwa najifananisha na Pascal Mayalla nkatamani Hadi kusoma sheria sema nkaikimbia pale mzumbe
Asante, kitendo tuu cha kutamani kuwa kama mimi, hiyo ni baraka tosha, utabarikiwa sana!
Barikiwa!
p
 
Kuna dr alikua ananijaza haniiti jina langu ananiita Beyonce 😹😹😹

Basi ana pikipiki lake moja hivi alitoka nalo kiwanja huko USA bana bana.. Hilo wa nyuma lazima umshike wa mbele..!!

Sasa siku hiyo akanitorosha akanipeleka kwenye party lao watoto wa kishua..!!

Akanipigisha shopping kali, code zilezile kama bey unaambiwa. Nikapanda lile dude road tunapita tunapigiwa miluzi tu..!!
Mi bichwa hiloooo limevimbaaa

Nikajiona Bey kweli hiyo siku 😹😹😹
Hapo uliwaza kabisa kuacha uwinga sio?
 
Brothers good evening....... Naamini hakuna sisters hapa, kwasababu sisters walikuwepo watatu tu, mmoja kaenda masomoni, mmoja yupo martenity mmoja hayupo active.

Back to topic: hivi hii kitu na nyie huwa mnaona? Au ni mimi tu najiona star kwenye kioo. Mi nikiwa mwenyewe, natembea peke angu, najitazama kwenye kioo huwa naona picha flani hivi.

Kwanza ni picha ya "Princess Diana" sio kwa muonekano ila ile spirit. Huwa nikiangalia videos za princess Diana, namuona alikua mwanamke mwenye roho nzuri, mwenye kiwango kikubwa sana cha Empathy lakini pia mnyenyekevu kwa watu.

(Ooh bro kajipakulia minyama)

Kama sifanani nae basi natamani sana kuwa kama yeye. Kuna muda huwa najiona princess Diana wa bei ya jioni.... princess Diana wa kikuu.

Kwa mbaaali naonaga pia picha ya Marylin Monroe, hii naomba nisielezee sana make sitaeleweka.

Kuna namna pia huwa namuona huyo mwanamke kwenye profile, naiona spirit hiyo ndani yangu.

Bros nyie mkijiangalia mnaona mnafanania na kina nani?

Usiogope kuwa Zuchu
Mi najiona kama mrisho mpoto
 
Sina kioo, sipigi picha pia na ni mwaka wa pili sasa sijui sura yangu inafananaje.
 
Back
Top Bottom