Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Inawezekana umekaa mjini muda mrefu, lakini maisha bado yanakuchapa tu, mpaka kujikuta unafanya kazi ambazo zinapoteza uelekeo wako na utu.
Kupitia uzi huu, kama unatamni kurudi kijijini ukaishi maisha ya edeni kwa kujituma kufanya kazi za mikono yako, mfano; kulima mashamba, kung'oa visiki, kufyatua matofali, kuponda kokoto, kuchoma matofali, kuchunga ng'ombe, kutengeneza vyungu n.k
Nyoosha mkono juu na useme, mimi naweza kazi za kijijini.