Psalm_27
JF-Expert Member
- Aug 27, 2026
- 1,648
- 3,290
Kuna ile ya majarubani duh! ni baraaa tupu!Kazi za kulima mashambani na kuchunga mifugo kama ng'ombe, kondoo, mbuzi
Kuna ile ya majarubani duh! ni baraaa tupu!Kazi za kulima mashambani na kuchunga mifugo kama ng'ombe, kondoo, mbuzi
Nyoosha mkono mmoja tu.Kwani yote unatumia kwa pamoja kuvunjia sheria za "inji"?Mkianza kugawa nauli, mnitag nirudi kunyoosha mkono 😎
Sasa hizo kazi ulizotaja mboni ndizo zinazofanyika mjini, kijijini kuna kipi ambacho mjini hakipo labda mashamba tu na hapo mjini baadhi ya maeneo mashamba yapoNyoosha mkono juu na useme, mimi naweza kazi za kijijini.
Mm napanda mnazi na mikono yoteNyoosha mkono mmoja tu.Kwani yote unatumia kwa pamoja kuvunjia sheria za "inji"?
Huwa hauzimii katikati ya ukweaji?Mm napanda mnazi na mikono yote
Wapo kikazi sana.Kuna vyeti hutolewa kwa pongezi zaidi ya vya kliniki?Ningeenda huko.Kijijini kwenyewe kucha wanatamani kuja mjini, vijana wanatoroka kuja mijini, kule kazi ni moja kuoa huyu ,kuacha huyu, kuzalisha huyu, unakutana na binti mdogo lakini amechoka, ameshazalishwa watoto watano Fasta Fasta yaani amezeeka
Kwa ile raha unaachaje kuzima, ww hujiulizi n kwann huwez kupiga nyeto bao mbili mfululizo?Huwa hauzimii katikati ya ukweaji?
😂😂😂😂😂😂😂 Kwa kazi hizo bora huyo mtu aendelee kukaa mjini, wewe unajua kungoa kisiki wewe!Inawezekana umekaa mjini muda mrefu, lakini maisha bado yanakuchapa tu, mpaka kujikuta unafanya kazi ambazo zinapoteza uelekeo wako na utu.
Kupitia uzi huu, kama unatamni kurudi kijijini ukaishi maisha ya edeni kwa kujituma kufanya kazi za mikono yako, mfano; kulima mashamba, kung'oa visiki, kufyatua matofali, kuponda kokoto, kuchoma matofali, kuchunga ng'ombe, kutengeneza vyungu n.k
Nyoosha mkono juu na useme, mimi naweza kazi za kijijini.
Kwamba,nyetukoz is sweeter than papooch!?Kwa ile raha unaachaje kuzima, ww hujiulizi n kwann huwez kupiga nyeto bao mbili mfululizo?
N kutokana na extreme utamu unaoupata, bao moja la nyeto linaondoa ugwadu wote kwa pamoja ambao ukifanya mapenzi na mwanamke inakubidi mlombane mabao 5+
Hahhah kuna binti miaka 25 ana watoto wanne hapo hata 30 hajagusa lakini ukimuona utadhani ana miaka 40,Wapo kikazi sana.Kuna vyeti hutolewa kwa pongezi zaidi ya vya kliniki?Ningeenda huko.
Haiwwzekani!Alipata mapacha?Au amedanganya umri?Ana haraka sana na anajaaliwa kwa ghafla mnoo!Hahhah kuna binti miaka 25 ana watoto wanne hapo hata 30 hajagusa lakini ukimuona utadhani ana miaka 40,
Hakudanganya, kijijini binti akimaliza darasa la saba linatosha, tena huwa wanashawishiwa wasifaulu ili waolewe, sasa miaka 14 ameshaolewa unategemea nini, mtoto anachishwa kunyonya anapachikwa nyingine ni mwendo wa kupachika tuHaiwwzekani!Alipata mapacha?Au amedanganya umri?Ana haraka sana na anajaaliwa kwa ghafla mnoo!
Okay.Hakudanganya, kijijini binti akimaliza darasa la saba linatosha, tena huwa wanashawishiwa wasifaulu ili waolewe, sasa miaka 14 ameshaolewa unategemea nini, mtoto anachishwa kunyonya anapachikwa nyingine ni mwendo wa kupachika tu
Nadhani umeelewa, nilikutana na binti wa miaka 32 anashinda vilabuni anasema mimi nimezaa watoto sita watoto watatu wa baba, hao wengine kila mmoja na baba yao, nikamwambia mbona umri bado sana nikimuwaza mdogo wangu mjini ana miaka 32 hajaolewa wala hana mtoto, na kuna dada mjini kaolewa na miaka yake 36, na kuna mwingine mwezi ujao tunakula ubwabwa ana miaka 38 na watoto juu, kijijini huyo atapaona pachungu.Okay.
-14 mtoto wa kwanza.
-16 mtoto wa pili.
-20-mtoto wa tatu.
-23 mtoto wa nne.
Noma sana.