Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
Niamini mm mkuu 😎Kwamba,nyetukoz is sweeter than papooch!?
Niamini mm mkuu 😎Kwamba,nyetukoz is sweeter than papooch!?
Ile inaimarisha viungo vya mwiliKuna ile ya majarubani duh! ni baraaa tupu!
Tutumie mbinu gani wakimbie mjini?Mkuu hao waliopigika mjini bila kufukuzwa kama wale wa kule Kwa madiba hawawezi kutii bila shuruti.
Mjini hakuna kung'oa visikiSasa hizo kazi ulizotaja mboni ndizo zinazofanyika mjini, kijijini kuna kipi ambacho mjini hakipo labda mashamba tu na hapo mjini baadhi ya maeneo mashamba yapo
Hahahahaaaa mwili una viungo vingi mkuu, ni vyema ukavitaja tujue na faida zake!Ile inaimarisha viungo vya mwili
Wakirudi kijijini, wanaingia kwanza jando ili kuwaweka sawaKijijini kwenyewe kucha wanatamani kuja mjini, vijana wanatoroka kuja mijini, kule kazi ni moja kuoa huyu ,kuacha huyu, kuzalisha huyu, unakutana na binti mdogo lakini amechoka, ameshazalishwa watoto watano Fasta Fasta yaani amezeeka
Hizo kazi zinakufanya uishi zaidi ya miaka 80😂😂😂😂😂😂😂 Kwa kazi hizo bora huyo mtu aendelee kukaa mjini, wewe unajua kungoa kisiki wewe!
Wanafaa kabisa kurudi kijijini
Hayo ni mateso sehemu zote Duniani watu wanapoishi miaka mingi hawafanyi hizo kaziHizo kazi zinakufanya uishi zaidi ya miaka 80
Utafutaji wa mjini sio wakutumia nguvu, ila wakijijini unahitaji kutumia nguvu.Vijiji vingi vya Afrika hali ni ngumu sana. Ukishindwa hapa town kwenye lami huko kijijini inatakiwa uwe na bahati sana. Kazi za vijijini ni ngumu na mshahara duni.
Una uwezo wa kung'oa visiki vingapi?Mimi hapa..
Maisha ya mjini yamewashinda hawaWanafaa kabisa kurudi kijijini
Ndio mpambane haswa, mfanye mwende huko mkalime!Dah mwali, tumekuwa gumzo watu wenye hizi.l ndoto za kukaa mbali na mji.
Ndio mpambane haswa, mfanye mwende huko mkalime!
Kumbe unajua kabisa wa vijivijini wanategemea wa mjini kwenye kulishana pia? Basi hatuwezi hamna wote mjini..Tunajua sasa hivi nyama ya ng'ombe imepanda bei, 😂 kwahiyo kidogo tunaorudi vijijini tunaenda kuweka ranch ya maana ya kulisha kinondoni kwa miezi kadhaa. Mbona Hela tutaingiza tu, ni suala la muda.
Eeenh kumbe?Kazi zipo tu, tunaweza tukaenjoy life na nature na bado mpunga ukaingia vizuri.
Kumbe unajua kabisa wa vijivijini wanategemea wa mjini kwenye kulishana pia? Basi hatuwezi hamna wote mjini..
Eeenh kumbe?
Yeah hapo utakuwa Umetisha! Hebu fanya kweli ungeanza mapema na hizi mvua uanze kuzalisha mapema!Yeah ipo hivyo, mjini kuna uhitaji mkubwa zaidi. Tukihangalia kutokana na takwimu. Uzalishaji wa beef farming kutoka vijijini ni mdogo haukidhi mahitaji ya watu wote ndio maana kuna fluctuation ya bei. Nikikamata hekari zangu 20-50 nikaweka samaki plus ng'ombe wachache kwaajili ya biashara sometimes plus shamba la chakula chao probably nagenerate revenue nzuri than most careers za watu wa mjini.