Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 3,114
- 6,309
Yeah hapo utakuwa Umetisha! Hebu fanya kweli ungeanza mapema na hizi mvua uanze kuzalisha mapema!
😂It's requires a lot of investment watu wengi hawana kipato hicho. Unajua farming for beef ukiwa mjanja it takes 3 to 5 month unakuwa unazuia approximately 700k to 1M yako per cow.