Saa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 6,552
- 13,002
Kijiji gani unazungumzia kwanza..aisee kuna wilaya moja inaitwa Mbinga kuna vijana wanamiliki pesa buana ..ila hawajui matumizi ya pesa kubadili maisha yao(siwapangi)physically na pesa wanazomiliki tofarent kabisa ..nilshangaa nilipofika kule milioni 10 wanaitamka kama buku tu pesa ya kahawa inaongea
Dumla bei gani uko