generationn Z
JF-Expert Member
- Jun 30, 2025
- 454
- 748
Mjini tupo kwa mda uzee lazm.utukute uko maporini tumetulia turiš
Nyie ndio mnaoleta foleni mjini, unga ukipanda bei mnaanza kulalamikaMe napenda kwenda ila si kuishi kwa sababu ya shamba napenda kwa sababu nabadilisha mazingira
Sio mimi napenda kulima niwe na chakula ndani na biashara upandaji wa nafaka itakuwa hainiathiri sanaNyie ndio mnaoleta foleni mjini, unga ukipanda bei mnaanza kulalamika
MkuuInakuwaje huko, bei iwe sawa na mijini wakati kuna ng'ombe wengi?