Wakuu mnawezaje kuwavumilia wanawake ambao hawana kazi?

Wakuu mnawezaje kuwavumilia wanawake ambao hawana kazi?

Ntemi_Ntale

Member
Joined
Aug 23, 2026
Posts
20
Reaction score
16
Kuna Muda Nikimuona Mwanamke wangu ananisogelea akiwa mpole sana Na Kuniita majina Matamu kama
“Mume wangu Kipenzi ,My Chulululilu, Baba watoto wangu..”
Najua tayari sentensi inayofuata ni “Naomba….”

Wakuu Mwanamke asiyekuwa na kazi ni Mzigo Mkubwa sana ,Shida zake ni kama seasons,Ukimaliza shida zake leo season 1, kesho jiandae na season 2, na Kaa ukijua muda wowote anakuletea trailer ya shida mpya...Jau sana Wakuu.

Utasikia "Dada yangu mtoto wake ana birthday, naomba 20k tu ya zawadi."
Ukimwambia "Pesa sina" anakuambia: "Sawa, hata mimi mapenzi sina “ na hata kununa kabisa.
Wakuu nyie mnawezaje Kuwavumilia ??

1790238638557.jpeg
 
Back
Top Bottom